#AFCONU17: “Senegal anakufa…, tunashinda na kombe linakuja Tanzania”.
Wadau wa soka wanaeleza jinsi itakavyowezekana kwa Serengeti Boys kushinda ubingwa wa mataifa Afrika kwa vijana U17, huku pongezi zikielekezwa pia kwa Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa hamasa na uwekezaji anaoufanya.
Ni Tanzania dhidi ya Senegal, kesho Juni 02, 2026 saa 4:00 usiku LIVE kupitia #AzamSports2HD
#AFCONU17 #SerengetiBoys #Tanzania #Senegal #TanzaniaSenegal #LinakujaNyumbani
(Feed generated with FetchRSS)