Shirika la kuhudumia viwanda vidogo (SIDO) limelenga kuwafikia vijana zaidi ya 600 kutoka mikoa 26 nchini kwalengo la kuwapa mikopo ili kuendeleza shughuli zao na kujikwamua kiuchumi
Akizungumza mkoani Morogoro katika kikao kilichowakutanisha maafisa wa SIDO pamoja na CRDB BANK Mkurugenzi wa Fedha na Utawala Ahmed Kitala amesema kuwa wanakwenda kuwawezesha wajasiriamali kupata mitaji yenye gharama nafuu ili kuwasaidia kuendeleza Viwanda vyao pamoja na Biashara
Kwa upande wake Meneja wa CRDB Japhari Asanali amesema kuwa malengo yao ni kufikia wajasiriamali 600 huku wakiweka utaratibu mzuri kwaajili ya kuwafikia wajasiriamali hao.
(Feed generated with FetchRSS)