Tazama: Jinsi makomando wa Uingereza walivyoikamata meli ya mafuta ya Urusi

Iliyochapishwa

Makamanda wa ulinzi wa Mfalme na Vikosi vya Uingereza wameingia na kuikamata meli ya mafuta ya Urusi inayohusishwa na mtandao wa meli za kivuli katika Mfereji wa Kiingereza.

Taswira za operesheni hiyo, iliyodumu kwa saa sita na kuwa ya kwanza ya aina yake kufanywa na vikosi vya Uingereza, zimetolewa na Wizara ya Ulinzi ya nchi hiyo.

Kwa mujibu wa wizara hiyo, meli hiyo ya Smyrtos itaendelea kuzuiliwa na kufuatiliwa katika pwani ya kusini mwa Uingereza huku uchunguzi ukiendelea.

Soma kilichojiri katika operesheni hiyo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *