Matokeo ya Sensa ya Wanyamapori ya Mwaka 2024/2025 iliyofanywa nchini na Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI) imeipa faraja taasisi hiyo baada ya matokeo kuonesha ongezeko katika aina 28 za wanyamapori zilizofuatiliwa huku aina moja pekee ikionesha upungufu.
Taarifa ifuatayo ina undani zaidi.
Mhariri @moseskwindi
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)