Unaweza kudhani kuwa unajua kila kitu kuhusu mji unaoishi lakini ukweli wa taarifa hii unaweza kukupa maswali ya msingi kuhusu mji wako na kila kinachouelezea.
Mwanaidi Waziri anataka kujua iwapo jamii ya Mpanda inafahamu asili, maana na umuhimu wa minara miwili iliyopo mkoani Katavi ambayo ni kielelezo cha mkoa jhuo.
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)