Umewahi kujiuliza nafasi ya watoto wa kiume kwenye jamii hususani linapokuja suala la kuhudumiwa na kutazamwa kwa jicho la karibu ikilinganishwa na watoto wa kike?
Taarifa hii iliyoambatana na maoni ya wazazi na wataalamu inaonesha namna watoto hao wanavyopitia mengi ambayo hayajulikani kutokana na kuishia vifuani mwao huku mila na desturi zikiwa kikwazo cha wao kupaza sauti.
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)