#KombeLaDunia2026 Mwenyeji Marekani ameshafuzu hatua inayofuata, lakini amepania kuendeleza moto wake, akisaka rekodi ya kufikisha alama tisa…
Habari mbaya kwake ni kwamba anakutana na wakongwe Uturuki ambao wanasaka heshima ili wasiondoke patupu. Uturuki wanaingia mithili ya mjeruhiwa mbogo.
Je, Marekani ana ubavu wa kuzuia moto atakaopelekewa
Mechi hii ni saa 11:00 alfajiri LIVE #AzamSports4HD kwa lugha zote mbili, Kiswahili na Kiingereza. Utachagua mwenyewe lugha ipi unaitaka.

(Feed generated with FetchRSS)