Mwili wa aliyekuwa Mhariri Mtendaji Msaidizi wa UTV, Wiltrudies Mutembei umezikwa leo katika kijiji cha Mkombole, Kibosho wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro.��Mwenzetu Enos Masanja ameshiriki maziko hayo na kuandaa taarifa ifuatayo.
@moseskwindi
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)