#HABARI: Wafanyabiashara wanaoshiriki maonyesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara Sabasaba wameshiriki semina maalumu, iliyolenga kuwajengea uwezo kuhusiana na masuala mbalimbali ikiwemo utunzaji wa mazingira, udhibiti wa kelele pamoja na namna ya kukabiliana na majanga mbalimbali wakati wa maonyesho hayo huku wakitakiwa kujitathminina kuzalisha bidhaa zinazoshindana katika masoko ya Kimataifa.
Kwa taarifa zaidi ufuate (follow) ukurasa wetu mpya wa Facebook #ITV EXTRA>>>> https://www.facebook.com/share/1QMjXDHqGv/?mibextid=wwXIfr
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates ITVTanzania
Follow ITV TANZANIA RadioOne Tanzania
Capitalradio Tanzania
(Feed generated with FetchRSS)