Mkurugenzi Mkuu wa KADOO Security, Justin Amos amesema kuwa maendeleo ya teknolojia na mifumo ya kidijitali imeongeza fursa za uwekezaji katika masoko ya hisa.

Amos anaeleza kuwa idadi kubwa iliyoongezeka imechochewa na ukuaji wa Teknolojia kwa kurahisisha ununuzi na uuzaji wa hisa.

✍Ibrahimu Kilumbo
Mhariri | @moseskwindi

#AzamTVUpdates

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *