Katika Dunia inayokwenda kwa kasi ya maendeleo ya sayansi na teknolojia, mataifa yanayowekeza kwa watoto leo, yatakuwa vinara wa uchumi wa kesho.

Lakini wakati watoto wengi bado wanaona masomo ya sayansi na hisabati kuwa magumu, swali linabaki je tunawaandaa vipi kuwa raia wa Dunia wenye uwezo wa kushindana kimataifa

Faraja Sendegeya anatueleza zaidi katika Makala ya Ufunguo.��

Mhariri @moseskwindi
#AzamTVUpdates

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *