#MEZAHURU: “Huduma kwa kujuana unaweza ukaiona ni huduma pale ambapo unajulikana yaani una mtu unapokuwa unahitaji huduma unaweza ukaona ni suala zuri sana kwa sababu utapata huduma nzuri na kwa wakati, ila ukiwa sehemu ambayo haujulikani unaweza kusema hiki kitu ni kibaya sana” Ally Hoza -Mchambuzi Masuala ya Kijamii
Kwa taarifa zaidi ufuate (follow) ukurasa wetu mpya wa Facebook #ITV EXTRA>>>> https://www.facebook.com/share/1QMjXDHqGv/?mibextid=wwXIfr
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates ITVTanzania
Follow ITV TANZANIA RadioOne Tanzania
Capitalradio Tanzania
(Feed generated with FetchRSS)