Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amemtaka mkandarasi anayetekeleza ujenzi wa barabara ya ya uchumi Mnivata hadi Mitesa kuhakikisha ifikapo Oktoba mwaka huu awe amekamilisha kilometa 50 za barabara hiyo kwa kiwango cha lami ili kuongeza kasi ya utekelezaji wa mradi huo wa kimkakati.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *