Wakazi wa Vijiji vya TuombeMungu na maeneo ya jirani wilayani Kaliua wameendelea kutoa kilio kuhusu tatizo la uhaba wa maji ambalo limekuwa likiwakabili kwa muda mrefu.

Wananchi hao wamesema hali hiyo imeongeza hofu ya kuibuka kwa magonjwa yanayotokana na matumizi ya maji yasiyo salama, huku wakiiomba Serikali kuweka mikakati ya muda mfupi na mrefu ili kukabiliana na changamoto hiyo na kuwapatia huduma ya maji safi na salama.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *