#HABARI: Msanii mkongwe wa Bongo Fleva Soggy Doggy amewainua mashabiki kwa kuimba wimbo wake maarufu wa Kibanda cha Simu katika tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva lililofanyika Mlimani City, Dar es Salaam.

Tamasha hilo linaenzi historia ya Bongo Fleva kwa kuwakutanisha wasanii wa kizazi cha mwanzo na kukumbusha chimbuko la muziki huo nchini.

Kwa taarifa zaidi ufuate (follow) ukurasa wetu mpya wa Facebook #ITV EXTRA>>>> https://www.facebook.com/share/1QMjXDHqGv/?mibextid=wwXIfr

Powered by #MCHEZOSUPA

‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates ITVTanzania
‎Follow ITV TANZANIA RadioOne Tanzania.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *