Umoja wa viongozi wa vyama 12 vya siasa umeonesha wasiwasi wa utekelezwaji tamko la pamoja la maridhiano wa kisiasa Zanzibar kati ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na ACT – Wazalendo ukidai kuna mazingira ya kuvunjwa kwa usiri wa ajenda za mazungumzo hayo.
Mtumwa Saidi anaeleza zaidi.��
Mhariri @moseskwindi
#azamtvupdates
(Feed generated with FetchRSS)