#HABAI: Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani ya Nchi wakati wa Serikali ya Awamu ya Tano, Kangi Lugola ameteuliwa na Chama Cha Mapinduzi kugombea Ubunge Jimbo la Mwibara.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania