#HABARI: Miili 4 zaidi inayoaminika kuwa ya wafuasi wa Kanisa la Mhubiri aliyegerezani Paul Mackenzie, imefukuliwa kutoka eneo l…#HABARI: Miili 4 zaidi inayoaminika kuwa ya wafuasi wa Kanisa la Mhubiri aliyegerezani Paul Mackenzie, imefukuliwa kutoka eneo l…

#HABARI: Miili 4 zaidi inayoaminika kuwa ya wafuasi wa Kanisa la Mhubiri aliyegerezani Paul Mackenzie, imefukuliwa kutoka eneo la Kwabinzaro, Kaunti ya Kilifi, na kufikisha jumla ya miili iliyopatikana tangu Alhamisi wiki hii kuwa tisa kulingana na Polisi. Marehemu wanaaminika kufunga hadi kufa kutokana na mafunzo ya dini potofu.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *