“Nyote mtakubaliana nami kwamba Hayati Magufuli alikuwa kiongozi shupavu, mzalendo na mwenye maono ya kimkakati na ya kimapinduzi, alikuwa ni mwalimu mzuri na mlezi mahiri… ndiyo maana kazi tuliyoianza awamu ya tano nimeweza kwenda nayo vizuri kwa sababu alinielekeza na alinilea vyema, Mheshimiwa Hayati Magufuli aliniachia Bwawa la Nyerere likiwa asilimia 37 nimeweza kulikamilisha na leo tunavuna umeme pale, aliiacha reli ya SGR ambayo miradi yote tuliianza pamoja awamu ya tano, lakini kama nilivyosema kwa sababu alinielekeza vizuri na kunilea vyema nimeweza, miradi mingi ya kitaifa ambayo nilianza nayo, ninamshukuru Mungu nimeweza kuikamilisha na ninamshukuru yeye kwa maoni yake aliyokuwa nayo kwa wakati ule, tukaanza miradi na kunifanya mimi niweze kuikamilisha”Dkt.Samia Suluhu Hassan – Mgombea Urais CCM.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *