Katika kuadhimisha Kumbukumbu ya Miaka 26 ya Kifo cha Baba wa Taifa, Mwl. Julius Nyerere, Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amewataka Watanzania kufanya kazi kwa bidii na kuheshimu sheria za nchi.

Dkt. Mpango ametoa rai hiyo mkoani Mbeya katika shughuli hiyo iliyoenda sambamba na Kilele cha Wiki ya Vijana na Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *