#HABARI: Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Kizimamoto Temeke, Jijini Dar es Salaam, limefanya zoezi la utayari la kukabiliana na majanga ya mlipuko wa moto katika Soko la Stereo kwa lengo la kutoa elimu kwa wananchi kujua hatua za kuchukua pindi majanga yanapotokea, pamoja na mbinu za kudhibiti moto mapema kabla haujasababisha madhara kwa jamii.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *