#HABARI: Vyombo vya ulinzi na usalama mkoani Tanga vimeanza kuimarisha operesheni ya kuimarisha ulinzi katika maeneo tofauti ikiwemo mpakani mwa nchi jirani ya Kenya kufuatia jeshi la polisi kubaini kuwepo kwa mtandao wa watuhumiwa wanaodaiwa kujiandaa kufanya mandamano makubwa siku ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 29 mwezi huu ili kuhatarisha hali ya amani na utulivu.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *