#HABARI: Wasomi na wanazuoni kutoka mataifa kumi ya bara la Afrika wanakutana jijini Arusha kujadiliana na kubadilishana uzoefu na kuweka mikakati ya pamoja ya mbinu sahihi za kukabiliana na changamoto zitokanazo na athari za mabadiliko ya tabia nchi, milipuko ya magonjwa na majanga ya kijiografia.

Kongamano hilo la siku tatu na wanataaluma linaratibiwa na Taasisi ya Biashara na Sayansi Tumizi ya Amerika Kaskazini (BAASANA) ambayo mwakilishi wake nchini Tanzania Dkt. Danlop Ochieng amesema wanatazama namna ambavyo taaluma mbalimbali walizonazo wasomi zinaweza kuchangia kwenye kutatua changamoto hizo.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *