Vyama vya ushirika nchini (SACCOS) vimeiomba serikali kuweka mazingira wezeshi ya uendeshaji ili kuruhusu SACCOS hizo kupokea amana kutoka kwa watu ambao si wanachama wa SACCOS hizo.
Ombi lililotolewa ni pamoja na pendekezo la maboresho ya sheria na sera zinazoongoza vyama hivyo.
Wasikilize viongozi wa baadhi ya SACCOS na wataalamu wa vyama hivyo wakieleza kwa undani.
Mhariri @moseskwindi