#HABARI: Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imesema itamtangaza mshindi wa kiti cha Urais ndani ya muda usiozidi saa 72, baada ya zoezi la upigaji wa kura kumalizika Oktoba 29 mwaka huu, na washindi wa nafasi ya Ubunge na Udiwani, wakitarajiwa kutangazwa wakati wowote baada ya kujumlisha idadi ya kura katika maeneo husika.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.