#HABARI: Watu wasiojulikana wanadaiwa kuchoma moto nyumba ya Askari Polisi, Mkaguzi wa Polisi Nsajigwa Mwajeka, pamoja na vifaa mbalimbali vilivyokuwepo kwenye nyumba hiyo zikiwemo sare za Polisi za askari huyo, katika Kijiji cha Ikumbilo kilichopo Kata ya Chitete, wilayani Ileje, mkoani Songwe.

Akitoa taarifa ya tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe SACP. Augustino Senga, amesema moto huo umetetekeza vyumba viwili vya nyumba ya askari huyo, wakati akiwa kwenye majukumu yake, ambapo mpaka sasa hakuna mtu wala watu wanaoshikiliwa na jeshi hilo huku uchunguzi unaendelea ili kuwabaini waliofanya tukio hilo.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *