Simujanja (Smartphones) ndiyo njia kuu ya matumizi ya intaneti kwa Watanzania wengi. Hivyo ndiyo maana wachezaji wengi wa michezo ya kubahatisha ya mtandaoni wanapendelea kutumia vifaa hivyo.

Apps za kubashiri kwa kutumia simu zinawapa wachezaji faida nyingi kama vile urahisi, uharaka, bonasi mbalimbali pamoja na live odds. Hii ndiyo maana kampuni kubwa za ubashiri kama Paripesa Tanzania zinafanya vizuri sokoni katika michezo ya ubashiri pamoja na casino za mtandaoni.

Je? unajiuliza hii inafanya vipi kazi. Hapa chini utafahamu kwa namna gani jukwaa la mtandaoni la Paripesa linakupa zaidi ya kile ulichokifikiria.

Falsafa ya Paripesa Mobile

Paripesa ina falsafa ya kirafiki ya kubashiri kwa njia ya simu. Unapotembelea tovuti, utaona kuwa imetengenezwa kwa kuzingatia urahisi ili kila kitu kiweze kufanyika kwa haraka bila kujali kifaa chako unachotumia.

Muundo rahisi: Hapa ukurasa na michezo ya tovuti hupitikana vyema kwenye simu nyingi za Android na iOS. Na hutumia data kidogo.

Ufikiaji wa haraka: Katika eneo hili, usajili na kuingia kwenye akaunti yako ni rahisi. Unaweza kuingia moja kwa moja au kupitia kwenye tovuti au kwenye simu moja kwa moja.

Uzoefu bora wa kubashiri: Hapa unaweza kutafuta mechi kupitia tovuti, kuangalia live odds au michezo ya Kasino. Kila kitu hufanyika kwa urahisi na haraka. 

Muundo huu unafaa kwa simu za Kitanzania zenye uwezo wa 3G au 4G na hivyo kuruhusu ufikiaji kutoka maeneo mengi.

Uzoefu wa kubashiri kupitia simu ya mkononi 

Uzuri wa Paripesa mobile ni kwamba inafanya kila kitu katika safari yako ya ubashiri kuwa rahisi

1. Ukurasa wa mwanzo unafunguka moja kwa moja na kuonyesha mechi zinazoendelea na zinazokuja, ni rahisi kutambua unachotaka.

2. Mkeka wa mtandaoni unakuruhusu kuongeza chaguo moja au zaidi mara moja. Unaweza pia kurekebisha dau lako wakati michezo inaendelea.

3. Wakati michezo inaendelea, unaweza kuifuatilia kwa wakati halisi moja kwa moja kulingana na michezo uliyoichagua kwenye mkeka wako.

4. Kwa kutumia taarifa za mara kwa mara zinazotumwa unaweza kufahamu kama mechi imekwisha, mabadiliko ya odds jambo linalokuwezesha kufanya mabadiliko kwa haraka.

5. Ushindi wako utauona papo hapo na unaweza kuzitoa fedha zako kwa kutumia machaguo ya malipo kwa njia ya simu ya mkononi.

Pia, unapata vipengele vya usimamizi wa akaunti yako vinavyokuwezesha kukagua historia ya dau au bonasi kwa urahisi.

Malipo kwa njia ya Simu

Kwa wachezaji wa michezo ya kubashiri Tanzania, jambo muhimu linalozingatiwa kabla ya kutumia jukwaa lolote ni usaidizi wa malipo kupitia mifumo ya ndani. Wakati baadhi ya tovuti za kubashiri huwaweka wateja wao kwenye msongo wa mawazo wa kubadilishia fedha kutoka sarafu moja hadi nyingine, Paripesa inapokea shilingi ya Tanzania.

Baadhi ya njia za malipo zinazofanikisha hili ni pamoja na Airtel Money, M-Pesa na Tigo Pesa. Ikiwa unazifahamu njia hizi za malipo, utakuwa pia unafahamu namna zinavyotoa miamala salama na ya haraka kwenye simu yako ya mkononi. Kiasi cha chini cha kuweka ni Sh 1,000; wakati kiasi cha chini cha kutoa ni Sh 3,000.

Kwa upande wa usalama wa wachezaji tovuti na programu maalumu zinafuata viwango vilivyowekwa kupitia teknolojia ya SSL ambayo hulinda data na taarifa za mteja.

Michezo ya Casino kwa njia ya simu

Kila aina ya mchezo wa casino ina njia ya kucheza kupitia simu ya mkononi. Hii ina maanisha kwamba wachezaji wanaweza kufurahia slots kama vile Mines of Glory na Royal 40 Fruits, michezo ya mezani kama vile; Baccarat and Roulette pamoja na michezo ya kisasa kama Aviator na Crash.

Lakini hiyo sio michezo pekee ambayo wanaweza kuifurahia, pia wanaweza kufurahia michezo ya casino ya moja kwa moja, kukutana na wachezaji wazoefu wa michezo hiyo kutoka katika kiganja chako kupitia simu yako ya mkononi.

  1. Muundo wake hufanya michezo kufunguka kwa urahisi hata kwenye simu ya 3G
  2. Unaweza kucheza kupitia kugusa kioo cha simu yako ambapo unaweza ku spin na kushiriki na watu wengine kwa urahisi na haraka
  3. Ubunifu uliotumika unakuwezesha muonekano kuendana na uwezo wa kifaa unachotumia iwe ni tablet au simujanja.

Jinsi ya kuanza kutumia Paripesa Mobile App

Kupata Paripesa mobile App fuata hatua zifuatazo:

  1. Tembelea tovuti rasmi ya Paripesa.
  2. Katika ukurasa wa mbele, tafuta na bonyeza kitufe cha Download App
  3. Install APK
  4. Jisajili kwa kutumia email au namba ya simu
  5. Baada ya kuthibitisha akaunti yako, unatakiwa kuweka fedha ili kuweza kupata bonasi na kufurahia ubashiri wako

Bonasi na promosheni zinazopatikana

Japokuwa hakukuwa na bonasi yoyote inayopatikana kwa watumiaji wa simu wakati wa uchambuzi huu, lakini unaweza kupata bonasi hizo kupitia jukwaa la mtandaoni.

Baadhi ya bonasi zilizopo ni;

  • Bonasi ya ukaribisho na kuweka fedha kwa mara ya kwanza: Baada ya kumaliza usajili wa akaunti yako, na kuweka kiwango cha fedha kinachopendekezwa, utapata bonasi ya asilimia 100. Bonasi ya ukaribisho pia inapatikana ikijumuisha fedha pamoja na spins za bura kama.
  • Asilimia 3 ya Cashback kwa wiki: Michezo yote inampa nafasi mchezaji ya kujishindia asilimia 3 ya cashback kwa mikeka iliyochanika kila Jumanne. Unaweza kuona bonasi hizi kupitia ukurasa wa bonasi.
  • Bonasi ya kuweka fedha kwa mara ya pili: Wakati kampuni nyingine zinatoa bonasi ya kuweka fedha kwa mara ya kwanza mara moja, Paripesa inakuwa   bonasi ya asilimia 50 kwa kuweka fedha kwa mara ya pili.

Wachezaji wanweza kuziona na kuzitumia bonasi hizi, kupitia mobile app.

Kama wewe ni mchezaji wa michezo ya kubashiri na unapenda uharaka unatakiwa kuanza kutumia Paripesa app. Mbali na ubunifu mzuri uliofanyika pamoja na njia salama za malipo unapata michezo yote inayopatikana katika tovuti. Unaweza pia kutembelea Paripesa Tanzania kupata bonasi leo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *