Wadau wa afya wameishauri serikali kuhakikisha kuwa katika kutekeleza sera ya bima ya afya kwa wote wanazingatia vifurushi kulingana na uwezo tofauti wa wananchi ili kila mmoja aweze kunufaika na mfumo huo.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi