DAR ES SALAAM; BOAZ Aywayo ameibuka mshindi wa droo ya vilainishi vya Puma Energy Tanzania.

Kutokana na ushindi huo, Meneja wa Mauzo wa Puma Energy Tanzania, Sulpis Mmasi alimkabidhi mshindi hundi ya Sh milioni 5 katika hafla iliyohudhuriwa pia na Mkuu wa Mauzo ya Vilainishi vya Magari Puma Energy Tanzania, Matiko Bugumia.

Mshindi alipokea pia kadi ya Elite yenye thamani ya Sh milioni 5, ambayo anaweza kutumia kununua vilainishi vya magari au gesi katika vituo vyote vya Puma Energy nchini.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *