Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu Amnesty International, limevilaumu vikosi vya RSF nchini Sudan vinavyopigana na jeshi la serikali+++Israeli imesema matokeo ya uchunguzi wa mabaki yaliyorudishwa huko kutoka Gaza sio ya mateka wake waliouwawa na Hamas.