3 Desemba 2025

Eneo la Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limekumbwa na vita kwa miongo kadhaa, hali iliyosababisha maelfu ya vifo na mamilioni ya watu kuyahama makazi yao. Sasa, hatua mpya imechukuliwa: Rwanda na Kongo zinatarajiwa kusaini mkataba wa amani uliosimamiwa na Marekani mnamo tarehe 4 Disemba. Je, mkataba huo unaweza kufungua ukurasa mpya wa amani ya kudumu?

https://p.dw.com/p/54hw9

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *