Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu ametembelea kambi maalumu iliyoandaliwa na Ubalozi wa India nchini kwa lengo la kutoa viungo mbadala kwa wahitaji 600.

Viungo hivyo vitakayogharimu Dola za Marekani 250,000 vitatolewa kwa watu wa rika na jinsi tofauti huku Zungu akimtaka Waziri wa Afya kutembelea kambi hiyo na kutafuta njia ya kupeleka kitengo hicho katika taasisi ya Mifupa MOI.

Imeandaliwa na Esterbella Malisa

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *