Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amewapongeza wananchi kwa kukubali wito wa kulinda amani na utulivu na kuidhihirishia dunia kuwa Tanzania ni nchi ya amani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *