#HABARI: Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani limefanya operesheni maalumu usiku na mchana katika mikoa ya Singida na Tabora ya ukaguzi wa vyombo vya moto na kubaini baadhi ya mawakala wa mabasi ya abiria wamekuwa wakiwatapeli wasafiri kwa kuwaongezea nauli hadi kiasi cha shilingi elfu ishirini kwa abiria mmoja kinyume na utaratibu ambapo baadhi yao wamekamatwa.
#MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania
(Feed generated with FetchRSS)