AzamTV imekuongezea chaneli tatu mpya katika Kisimbuzi, Liverpool TV chaneli namba 125, TVE International Africa chaneli namba 250 na Furaha TV chaneli namba 419.

Liverpool TV inapatikana katika vifurushi vya 28,000 na 35,000, TVE International Africa inapatikana katika kifurushi cha 35,000 na Furaha TV inapatikana katika vifurushi vyote.

#AzamTVBurudaniKwaWote

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *