Chaichaka ni mtoto fulani hivi mwenye drama nyingi…ameenda kuwanywea hasa Bisura ili ampe vijembe vyake.
Kumbuka Bisura ni kama amemkuza Chaichaka pasina kujua ni mama yake mzazi, alikuwa akimtembelea na kumpa kila kitu kwenye kituo cha watoto yatima kabla ya kumuhamisha na kumpa nyumba katikati ya milima ya usambara ili aweze kupata hazina zilizofichwa kwenye ramani iliyochorwa tatoo mgongoni mwake.
Tuendelee na hadithi tamu ya #PichaYanguSeries kila Jumatatu hadi Alhamisi saa 1:30 usiku #SinemaZetuHD