“Nina amini kwamba malezi ndio sehemu pekee inayotoa Binti mwema au Binti mbaya. Na pia Teknolojia na wazazi wengi tumetaka watoto wetu walelewe kwenye vishkwambi tofauti na zamani ambapo mzazi alikuwa ana kawaida ya kukaa na mtoto kuongea nae. Nakumbuka baba yangu alikuwa akituweka kikao. Ukishajua tu mzazi amerudi tunajua kuna kikao”- @Aunty_Kauthar Mwandishi wa Vitabu na Mkufunzi wa Malezi
#LiveonClouds360
#Clouds26Nyoosha
#LainiYaWana