#HABARI: Mwili wa aliyekuwa Naibu Waziri wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi na Mbunge wa Kiteto, Serikali ya Awamu ya Nne, Marehemu Bedectict Ole Nangoro, aliyefariki wiki hii unatarajiwa kuzikwa kijijini kwao Olpoponyi, Kiteto, Jumamosi Desemba 13, 2025.
Akizungumza nyumbani kwa Marehemu Nagoro, Sakina jijini Arusha, Msemaji wa Familia, Bw. Christopher Ole Sendeka, ameeleza ratiba ya tukio hilo.
Prof. Eliamani Laitaika, mmoja wa watu waliyowai kufanya kazi na Marehemu Nangoro, ameeleza mchango wake huku Ole Sendeka akitaja sifa za ziada za marehemu.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania