Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba amesema wakazi wa maeneo ya Gongo la Mboto, Mbagala na Kinyerezi – Dar es Salaam wameanza kupata umeme wa uhakika baada ya kukamilika kwa mradi wa Kinyerezi One Extension ambapo awali walikuwa wakikumbwa na adha ya kukatika kwa umeme mara kwa mara.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi