Baadhi ya shule za sekondari mkoani Ruvuma zinazoendesha shughuli kama za ufugaji na kilimo cha bustani ndogo, zimeeleza kufanikiwa katika namna mbalimbali, ikiwemo kuboresha lishe kwa wanafunzi na kuchochea ari ya kujifunza, huku shughuli hizo zikiwaongezea kipato.

Mawazo Mwaijengo ametembelea baadhi ya shule hizo, anatupa taarifa zaidi.
Mhariri | @claud_jm

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *