Madereva bodaboda watano wamefariki dunia baada ya kugongwa na lori lenye namba za usajili T 824 EKS, ambalo lilipata hitilafu kwenye mfumo wa breki katika eneo la Makulu, barabara inayoelekea Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi