
Bunge la Zambia laidhinisha muswada tata wa kubadilisha sheria za uchaguzi
Bunge la Zambia siku ya Jumatatu limeidhinisha kwa kishindo muswada wa kubadilisha vipengele vya katiba vinavyohusiana na uchaguzi ambao upinzani utamsaidia Rais Hakainde Hichilema kwa uchaguzi wa mwakani.