TAIFA CUP VOLLEYBALL | Ilikuwa ni siku ya pili ya mashindano ya mpira wa wavu kwenye viwanja vya Chinangali, Dodoma….
Mchezo wa mwisho kwa leo ulikuwa ni huu….ambao umemalizika kwa Dodoma kuwapiga Kilimanjaro seti 3-0.
Tazama highlights…
Burudani itaendelea kesho LIVE #AzamSports4HD
#VolleyballTaifaCup #TaifaCup #Volleyball #Kilimanjaro #Dodoma #KilimanjaroDodoma