Hamida amuigiza Shakei ampelekee Sheiza mzigo, imebidi ashangae 😅 Kachoi amchana ukweli Chaichaka anayeonekana kutaka ukaribu na Sheiza. Kipande haishi kumsakama Sheiza licha ya utendaji wake wazua kazi. Usikose kutazama #PichaYanguSeries leo saa 1:30 usiku ndani ya #SinemaZetuHD