#MICHEZO: Aliyewahi kuwa kocha wa Simba Dimitar Pantev wakati akizungumza na @hoseamchopa, ambaye alimuuliza kwa nini baada ya Mohamed Bajaber kurejea kutoka kwenye majeraha yake, alichelewa kumpa nafasi wakati mashabiki wengi wakiamini ni moja ya wachezaji bora waliosajili.
Amesema kuwa mchezaji huyo anakabiliwa na ugumu mkubwa wa ushindani wa namba kati yake na Eli Mpanzu,Mourice Abraham na kisha akamtaja Kibu Denis na akafunguka kuwa kama Simba watafanikisha kumbakisha mchezaji huyo, kutokana na kocha kujua Kibu Denis ana ofa nyingi hivyo kuna hatihati ya kuondoka.
Usikosea kambi ya michezo @radio one Jumatatu hadi Ijumaa saa 7:30 -10:00 jioni
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania