Waziri Mkuu wa Sudan, Kamil Idris, amependekeza mpango mpana wa amani unaolenga kumaliza vita vya takribani siku 1,000 nchini mwake+++Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema anatarajia Urusi itafanya mashambulizi makubwa nchini mwake wakati wa siku kuu ya Krismasi.