“….sasa kuna mashindano ya Kitaifa ya ubunifu tulikuwa na huyu Bwana (Injinia, Yassin Sanga kutoka TANTECK Machinery) vyuo vya ufundi vyote nilikuwa mshindi wa kwanza kwa ubunifu wa ile gari ya umeme lakini baadaye kwa ushindi ule nilipata zawadi pale pale na cheki ya milioni 3 na Waziri alikuwa Ndalichako (Prof. Joyce) kipindi kile…” Injiani Gabriel Mwenyekule- JG Creative Corner.

Powered by #MCHEZOSUPA


‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎#Follow @itvtz @radioonetanzania
‎@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *