#HABARI: Vilio vya wananchi na wakulima mkoani Pwani, vinaendelea kuibuka kufuatia kero ya majitaka yanayotiririshwa kutoka kwa baadhi ya viwanda, hali inayosababisha uharibifu wa mazao, kuchafua mazingira na kuhatarisha usalama wa afya za jamii zinazoishi na kuendesha shughuli zao za kimaendeleo katika maeneo yanayozungukwa na viwanda.
Wakizungumza na ITVDigital, baadhi ya wakazi na wakulima wa Kijiji cha Mwanambaya, Mkuranga, mkoani Pwani, mara baada ya kiwanda cha uzalisha tishu kutiririsha majitaka katika maeneo ya mashamba na kwenye vyanzo vya maji.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.