#HABARI: Wakulima wa zao la Pamba mkoani Singida, msimu huu wa kilimo wanatarajia kuongeza uzalishaji wa zao hilo tofauti na awali, kufuatia kutolewa matrekta 20 ambayo yana walimia kwa bei ya shilingi 35,000 kwa hekari moja tofauti na awali walikuwa wakilimiwa kwa shilingi 70,000 na kupewa mbegu, viwatilifu na wataalamu wa kilimo bure.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.