#VIDEO: Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, ikiwasili nchini kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) ikitokea Morocco, ambako ilishiriki fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025).

Stars imerejea ikiwa na heshima ya kuandika historia kwa kufika hatua ya 16 bora kwa mara ya kwanza, licha ya kuondolewa na wenyeji Morocco kwa kipigo cha bao 1-0.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M -Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital

#ITVUpdates

#ITV Tanzania

Follow @itvtz

@radioonetanzania

@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *